Skip to main content
Abel Marandu

Abel Marandu

IT SPECIALIST & SOCIAL MEDIA EXPERT

Talent
NairobiMember since May 27, 2026
Adobe Premiere Pro
·

Hire this person

Send a job offer directly to this candidate

Adobe Premiere Pro

About

Mtaalamu wa IT na usimamizi wa mitandao ya kijamii (Social Media Expert) mwenye ubunifu mkubwa na uzoefu wa kutumia zana za kisasa za kidijitali ikiwemo mifumo ya AI, kuedit video na kusanifu picha. Nina uzoefu thabiti wa kukuza kurasa za biashara, kuongeza mwingiliano wa wateja (engagement), na kusimamia mifumo ya tehama kwenye sekta za afya na biashara.

Experience

Social Media Manager & Content Creator at Tech Mastertz (2026-01 – Present)

  • Kusimamia mkakati wa maudhui na ukuaji wa chapa kidijitali kupitia mifumo ya AI na zana za kisasa.
  • Kutengeneza na kuedit video fupi zenye mvuto mkubwa (Reels & TikTok) kwa kutumia programu za CapCut na Adobe Premiere Pro.

Digital Commerce & Social Media Coordinator at 28 Store (2024-01 – 2025-12)

  • Kusimamia kurasa za biashara na kutengeneza mabango ya ofa na matangazo kwa kutumia Canva na zana za ndani za Instagram na TikTok.
  • Kuongeza mauzo na mwingiliano wa wateja kwa kuandaa maudhui yenye ubunifu yanayoendana na soko la sasa.

Social Media Manager at I am sky (2023-01 – Present)

  • Kupanga na kutekeleza mikakati ya masoko mtandaoni (Instagram na TikTok), na kuongeza engagement kwa 30%.

Healthcare Administrative Support & IT Support at Semwi Health Center (2022-01 – 2023-12)

  • Kusimamia kumbukumbu za wagonjwa kidijitali na kutoa msaada wa kiufundi wa IT, jambo lililoongeza ufanisi wa kazi kwa 20%.

Education

Ordinary Diploma in IT in Computing & Communication – National Institute of Transport (NIT) (2024-12)

Secondary School Certificate in General Studies – Sr. Joachim Boas School (2021-12)

Skills

IT SPECIALIST & SOCIAL MEDIA EXPERT

Reviews